Aise,sijapita kitambo huku,kumbe ndio maana yakeππ
Huku wapi tena πAise,sijapita kitambo huku,kumbe ndio maana yakeππ
Vituko mitandaoni,kuna kituko mtu alipost sikukielewa ndio nikauliza maana yake, badae nikajibiwa ndio ukanitag,sasa ndio nimeona leoπHuku wapi tena π
Muda unayoyoma, vitu za 2yrs back
Kitu ya 2023 April unaona leo Oct 2025 ππ umetishaaaVituko mitandaoni,kuna kituko mtu alipost sikukielewa ndio nikauliza maana yake, badae nikajibiwa ndio ukanitag,sasa ndio nimeona leoπ
Acha tu,yaani mambo ni mengi sana duniani,halafu muda mchacheπKitu ya 2023 April unaona leo Oct 2025 ππ umetishaaa