Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 14,978
- 35,068
Mnisaide tafsiri za vi emoji aisee
Mnisaide tafsiri za vi emoji aisee
Tueleweshane jamni wengine akili zetu hazija ng'amua
Ntuzu - Bariadi- Simiyu = wasukuma 🤣🤣🤣
Hiyo ya tako ninja na pinokio ndio nini sasa😂😂😂 mzabzab kuna ujumbe wako hapa
Hauna gari na hauna hela, usipende wanawake wenye 🍑Hiyo ya tako ninja na pinokio ndio nini sasa
Aisee kwa hiyo sie zero money tupende flat screenHauna gari na hauna hela, usipende wanawake wenye 🍑
📍📍📍📍📍 watakubebea wazee wa fursa.Aisee kwa hiyo sie zero money tupende flat screen
Kichapiwa kupo tuu ata kama unabeba flat screen📍📍📍📍📍 watakubebea wazee wa fursa.
Bora ujibebe risk ndogo..Kichapiwa kupo tuu ata kama unabeba flat screen
Risk ndogo lakini reward yake ndogo pia.Bora ujibebe risk ndogo..
Wewe tenaa 🤣🤣🤣🤣Risk ndogo lakini reward yake ndogo pia.
Ukikmatia litako basi bao nalo linakuwa tamu zaidi
Wee mwenyewe unajua maana sii unaona post zako za mademu...mbona hujaweka flat screenWewe tenaa 🤣🤣🤣🤣
Wee mwenyewe unajua maana sii unaona post zako za mademu...mbona hujaweka flat screen
Tutakupa banSubri soon nitaanza kuweka vimbaumbau 😂😂😂😂