Aise,sijapita kitambo huku,kumbe ndio maana yake😁😀
Huku wapi tena 😁Aise,sijapita kitambo huku,kumbe ndio maana yake😁😀
Vituko mitandaoni,kuna kituko mtu alipost sikukielewa ndio nikauliza maana yake, badae nikajibiwa ndio ukanitag,sasa ndio nimeona leo😀Huku wapi tena 😁
Muda unayoyoma, vitu za 2yrs back
Kitu ya 2023 April unaona leo Oct 2025 😀😀 umetishaaaVituko mitandaoni,kuna kituko mtu alipost sikukielewa ndio nikauliza maana yake, badae nikajibiwa ndio ukanitag,sasa ndio nimeona leo😀
Acha tu,yaani mambo ni mengi sana duniani,halafu muda mchache😀Kitu ya 2023 April unaona leo Oct 2025 😀😀 umetishaaa