Utoto raha sana ila sasa hizi shule zetu zinawanyima watoto utoto wao yaani wao wanaweka watoto wetu shule mpaka saa 11 jioni. Unajiuliza mtoto wa darasa la tatu anasoma nini mpaka saa 11 jioni?

Wanazingua sana yaani 😃Utoto raha sana ila sasa hizi shule zetu zinawanyima watoto utoto wao yaani wao wanaweka watoto wetu shule mpaka saa 11 jioni. Unajiuliza mtoto wa darasa la tatu anasoma nini mpaka saa 11 jioni?