Nimeipenda kwa kweli , nawezi tumia masaa ma 5 huko😅Kwanini unatumia tiktok😎
Kwa maana mungu aliupenda ulimwengu akamtoa mwanae pekee ili kila anamuaminia atapata uzima we milele
Demu hana tako wa nini bwana huyo ni wakuua kabisa.
Kabisa Lamomy ringa mrembo kama titi umebarikiwa
Utoto raha sana ila sasa hizi shule zetu zinawanyima watoto utoto wao yaani wao wanaweka watoto wetu shule mpaka saa 11 jioni. Unajiuliza mtoto wa darasa la tatu anasoma nini mpaka saa 11 jioni?
Wanazingua sana yaani 😃Utoto raha sana ila sasa hizi shule zetu zinawanyima watoto utoto wao yaani wao wanaweka watoto wetu shule mpaka saa 11 jioni. Unajiuliza mtoto wa darasa la tatu anasoma nini mpaka saa 11 jioni?