moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,361
- 775,917
Wajuba wanazifunika kanika kisha wanasepa nazo
Wajuba wanazifunika kanika kisha wanasepa nazo
Man U inapigwa nyingi kuliko ilivyochapika PSG 🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Nitafutie wa aina hiyo nijaribu😁😁
Tumia Tanga Cement chapa ya Simba😁😁
Ninunulie mie nanunua mchanga😁Tumia Tanga Cement chapa ya Simba😁😁
Nitafutie wa aina hiyo nijaribu😁😁
Tafuta mwenyewe😁Nitafutie wa aina hiyo nijaribu😁😁
Tunaambiwa usipo toa sadaka basi huwezi kujibiwa maombi😁Mungu haombwi kwa sadaka.
Sadaka ni sehemu ya Ibada, aliye nacho atatoa asiye nacho atapewa na maombi yanaendelea.
Mwaka 2005 fainali ya UEFA. LIVERPOOL VS AC MILAN. Nilitaka kuuwawa 😂Kukatiza tuu mbele ya projekta, niliskia...
Wee boyaaa njia yote huoni pa kupita....😨😨😨
Uongo huo, Mungu ni wa wote, walio nacho na wasio nacho wote wanamuomba Mungu na wanajibiwa duah zao.Tunaambiwa usipo toa sadaka basi huwezi kujibiwa maombi😁
Wote aliotembea nao waongo🪒
Halafu ufosi kwenda kukaa siti za mbele na kiatu chako kinalia, ko, ko, ko, ko, wakati ni kipindi cha mahubiri
Magari yanapita vyakutosha