Una wiki 3 kwa mjomba tangu umefika na leo umeenda kung'oa jino na bado una pamba mdomoni ile unarudi unaambiwa "karibu anko familia haikuwa vizuri ila leo ndo mapokezi yako rasmi karibu sana"
week mbili zilizopita nilikuwa busy sana nikajikuta nakula slice tatu au nne za mkate nashiba sana alafu njaa nakuja kuhisi jioni hapo nikagundua mtu unakula sana sababu hauna u busy

Una wiki 3 kwa mjomba tangu umefika na leo umeenda kung'oa jino na bado una pamba mdomoni ile unarudi unaambiwa "karibu anko familia haikuwa vizuri ila leo ndo mapokezi yako rasmi karibu sana"View attachment 1549823