Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Hahaha........bila hiyo mistari binti hawezi kuelewa, hapo anahisi jamaa ni mtume baada ya wale 12 wa Masihi 🤗Jamaa anafunga kamba hatari. Eti Yesu Asingemuwahi yeye ndiye angemfia demu ili kuondoa dhambi zake 🙏🏿
Heri ya mwaka mpya pia mkuu. Natumaini kila kitu kiko salama huko GC. Tuzidi kumuomba Mungu ili Azidi kutubariki na kutuongezea miaka yenye heri na afya tele hapa duniani. Asante sana ndugu yangu na Mungu Akubariki sana pamoja na wapendwa wake 🙏🏿🙏🏿🙏🏿