Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Si ajabu last born huyu 😁😁😁

Screenshot_20250126_063242_Instagram Lite.jpg
 
Jamaa anapiga mistari hadi binti ameanza kujing'ata kucha 😜

Heri ya Mwaka Mpya Mkuu, natumai Mungu wetu wa rehema ameendelea kutupigania na kutupa afya sisi Wazee wote wa JF 🙏🙏
Jamaa anafunga kamba hatari. Eti Yesu Asingemuwahi yeye ndiye angemfia demu ili kuondoa dhambi zake 🙏🏿

Heri ya mwaka mpya pia mkuu. Natumaini kila kitu kiko salama huko GC. Tuzidi kumuomba Mungu ili Azidi kutubariki na kutuongezea miaka yenye heri na afya tele hapa duniani. Asante sana ndugu yangu na Mungu Akubariki sana pamoja na wapendwa wake 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Hahaha........bila hiyo mistari binti hawezi kuelewa, hapo anahisi jamaa ni mtume baada ya wale 12 wa Masihi 🤗

Neema ya Mungu iendelee kutushukia sisi Wazee wote humu, kwani ndiyo Wazee tuliobaki baada ya wengine wengi kutangulia mbele za haki 🙏🙏

Barikiwa sana Mkuu 🙏🙏
 
Back
Top Bottom