Unajua ni nini ilisababisha ikaitwa Uvinza au chumvini? 😁🏃🏿♂️
kuna salt nyingi na utelezi au?Unajua ni nini ilisababisha ikaitwa Uvinza au chumvini? 😁🏃🏿♂️
😅 ngoja wakuje
Tumepotoka tunaomba radhi lakini hata huko siasani kuna vituko pia! Tutajitahidi tufuate ushauri asante sana🙏🏾Mnaharibu huu uzi, Nafikiri ulitakiwa kuwa wa vituko na vichekesho Miaka ya nyuma nilikuwa nikisoma huu uzi vichrko tu Nafurahi nimerudi leo Mnapost Siasa na Masuala mengine tofauti kabisa, Kausheni Unataka kumuongelea Mbowe,Lissu,Samia,Ccm,Chadema nenda kwenye jukwaa la Politics
DuhMwisho wa mwaka. Roho zinavunwa. Wapumzike salama 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3187807View attachment 3187808View attachment 3187809
Wamepona wahudumu wawili tu. Wamekutwa wamejibamiza huko mkiani kulikosalimika 🙏🏿