Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 15,757
- 122,287
Wanaume hawahitaji jina bali wanahitaji mwili. Jina linaweza kuulizwa baada ya miili kuwa imeshakutana
Hata kuoga wanakuwa bado, anavaa dera lake tu anaenda na nywele zimechanguka kama ndevu za mahindi
Ubaya ubwela 😁
Alooo hawa viumbe ninjasiri kweli kweli. Sasa myutong wote huo jamani