Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 14,553
- 112,887
Tatizo ni hilo ROBA.
Roba la bangeView attachment 3174136
Tatizo ni hilo ROBA.
Tunafundishwa kuwa mauti inaanzia unyayoni kuelekea kwenye koo😨😨Sio miguuni??
Maana bro angu wakati anaelekea kufariki alimwambia mshua anasikia baridi kali sana linapanda kuanzia miguuni😋😋😣
Fanya ibada, heshimu watu, jiepushe na vitu vya watu.Ghafla nimehisi vibaya ulivyo sema, umenifanya nifikirie kuhusu maisha nayoishi hapa duniani. Kuna muda huwa nafikiria, hivi nikifa sijui nitasema nini uko nikienda, namuomba Mungu niweze kuishi kama kusudio lake.
Ubaya ubwela 😂