Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

712a04f3-8f8a-4ac6-89d6-f503d87b0132.jpeg
 
mh! asije nitamfanyia vurugu bure!

Aahahahahaaa hujaacha tuu vurugu zako

Eti nishikeni jamani ntamuumiza huyu, jamani nishikeni nizuieni jamanii eehehehehe

Nyiiieeeee mbona hamnizuiiii huku unatimua mbio aahahahahhaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hadi nimekumbuka vile bukta ilikuvuka wakati unaogelea kwenye swimming pool 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
mh! nimekuwa sasahivi ulimwengu umenikuza!
 
Back
Top Bottom