moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,135
- 770,219
Hakuna stori bila pesa.
Hakuna stori bila pesa.
Punguzeni matumizi ya kisukuma maana hivi sasa mnapatikana nchi nzimaWasukuma 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Nyama gani sasa?Nyqma..! Nyama .. ! Nyama..!!😋😋😋
Wametuchafulia mawe urais kauchukua mwingine 😳😳
Ama kweli siasa ni sayansi.Ni wazi Rais Samia ameonyesha uwezo mkubwa wa kuongooza na kuizamisha CHADEMA. Ndiyo maana nasema tusimharibie. CCM imeonyesha uwezo kufunika upinzani kwa theluji nzito ya hoja na mipango mikakati mizuri kabla na baada ya uchaguzi.
Majibu ya ChatGPT baada ya kumuuliza ukweli wa hii storiEx girlfriend wa Elon Musk alimblock Elon kwenye Twitter baada ya kupata mpenzi ,Amber Heard alimuacha Elon musk kwasababu alipata mpenzi mpya twitter ,kitendo hiki kilimkera Elon Musk akaamua kuinunua twitter Kisha akamzuia ex wake kutumia mtandao wa twitter na kuibadirisha twitter kuwa na jina la X😁😁😁😁View attachment 3139184