Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mfalme Nimrod moja ya mfalme ambae alihadithiwa katika kila kona ya dunia. Mfalme Nimrod alikuwa mfalme mshenzi, muovu, katili na punguwani .
Mfalme Nimrod alitawala kwa mabavu mpaka akafikia kujiita yeye ndiye mungu kwani alitawala kwa mabavu, dhulma na uonevu

Soma zaidi ⬇️
20241031_225742.jpg
 
Mke wake ammletea Wanawake waku sex nae nyumbani 🥶🥶🥶

Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakua ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho yeye itakua shughuli nzito kukutana na mumewe

mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na Wanawake wa nje ameamua amletee mwenyewe ili arahisishe mambo

" Nilimletea Wanawake Wawili ambao ni Sexy sana warembo kweli kweli kipindi hiki Cha ujauzito mpaka siku ntajifungua. Wanawake hao walikua wanakuja wakati mume wangu akihitaji tendo kutoka kwangu . Lakini nilipojifungua na kupumzika vya kutosha Wanawake hao waliondoka na nilifanya hivo kwa sababu sikutaka mume wangu afuate nje Bora nimletee ale mwanamke ambae nimemchunguza ili asilete virusi ndani ya nyumba yangu 😁" alisema mke wa Neyo

Vp wadau hii kwenu imekaaaje ,😂View attachment 3137575
Hafai kabisa
 
JIFUNZE KWA MOURINHO🗣️

Jose Mourinho anasema nilipokuwa kocha wa Inter Milan alikuja mbele yangu mchezaji Zlatan Ibrahimovic akasema nataka kuondoka klabuni hapa ili nikashinde ubingwa wa UEFA.

"Wasaidizi wangu walihofia wakiamini kuwa hatuwezi kushinda bila yeye, hata wachezaji wenzake hawakutaka tumpoteze".
Hata mimi nilipata hofu lakini nikasema pengine ukiondoka tutashinda.

Kisha nikasema kama ataondoka tutajaribu kumsajiri Samuel Etoo ambae alikuwa anacheza Barcelona ambayo Etoo alitaka kwenda.
Niliamini kuwa Diego Milito na Etoo wanaweza kuleta kitu cha tofauti kimbinu ndani ya timu yetu.

Mazungumzo yakafanyika Ibrahimovic na Etoo wakabadilishana timu.
Ibrahimovic alidumu kwa msimu mmoja tu ndani ya Barcelona lakini Etoo alishinda mataji matatu mfululizo akiwa na Inter.

Kupitia kisa hiki tunajifunza kwamba kwenye maisha kuna wakati unatakiwa kuwaacha baadhi ya watu waondoke kwenye maisha yako hata kama unawapenda kupita maisha yenyewe....

Inawezekana Mungu amepanga ushinde makubwa ukiwa bila wao kwa sababu uwepo wao unaziba milango ya watu wengine waliobora kuja kwenye njia yako na kukusaidia kufikia malengo yako.

©JIFUNZE KUJIFUNZA
Safi sana.
Kupitia njia kama hizi tulishawafuta wengi.
Kuna watu hudhani wana thamani kubwa zaidi kuliko aliyetuumba.
 
Back
Top Bottom