Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,117
- 829,005
- Thread starter
- #22,861
Hapa ni kwa msukuma alie soma mpaka degree 2
Wewe haukuwa Kama hao mkuu?Poleni saana aisee
Mwaka mmoja wa kumaliza A'level niliwahi kukaa hostel ila ilikuwa kistaarabu zaidi na zaidi.Wewe haukuwa Kama hao mkuu?
Au hajawahi kaa hostel??
Oh basi umesoma shule ya watu wastaarabu.Mwaka mmoja wa kumaliza A'level niliwahi kukaa hostel ila ilikuwa kistaarabu zaidi na zaidi.
Maana ilikuwa kila time ya msosi tunakuwa kwa makundi. Kila kundi linakuwa na watu 6 na meza yao.
Hivyo kulikuwa hakuna jam, maana kila mtu alikwenda kwenye meza yake tu, iwe asubuhi, mchana au jioni.
,,ukitaka usipate usumbufu ni aidha uwahi kabla ya muda uchukue au uende baada ya watu wote kuisha.