Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

d0fca215-90e4-4d06-a4ab-cad419e29b66.jpg
 
_Kuna kipindi inabidi uupige mkwara umasikini. Utishie...Siyo Kila siku umezungukwa na mazingira ya ovyo._

_Piga mkwara , nenda hata hoteli ya kitalii , agiza kitu kula._

_Tembea mitaa wanayotembea matajiri, Kama akina Dewji kwa ujasiri kabisa, jidai kama tajiri. Tupa stress za Kodi japo kwa saa_.

_Ingia kwenye Kona za matajiri ili ujue raha ya kuwa tajiri._

_Nenda kaulize Bei ya Benz hata Kama hununui, uliza Bei ya Landrover Vogue_
_Fanya majaribio ya kuendesha , Kama mteja. Hakikisha unaonekana mteja. Vaa ujasiri._

_Utishie umasikini, upige mkwara wa kufa mtu ...ili umasikini ubabaike hata wanaokucheka washindwe kukuelewa Wala kujua kinachofuata._

_Kumbuka, ukifanya kitendo hiki utajenga akili kichwani itakayoleta usumbufu kwenye ufahamu wako ...utavutiwa na unaweza kuamsha mengi uliyonayo ambayo hukuyajua. Muda mwingine unaweza kukutana na watu ambao hukutegemea_

Jr
 
Ukichaa huo
 
Back
Top Bottom