Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Duh this is too much mamlaka inabd zishughulikie hz channel za ovyo kwa kuzipga fain au kuzfuta kabisa
IMG_20200802_092509.jpeg
 
*Kwa mujiub wa utafiti uliofanywa na Prfoesa wa chou kiuuk cha Hravad unanyoesah haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon.*
*Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney ehrufi za mwazon au miwsho tu, zinazobaik zinaweaz kuchangnyawa tu na zkaieleweak bila taub.*
*Hii ni kwa sabaub ubogno wa binadaum huaw hauosmi kila heruif bali husoam maneon kwa ujmula wake*

*_Si unaona umesoma yote na umeelewa_*
Alafu kuna kenge ananiambia tz amna wavuta bangi
 
*MAREKEBISHO YA SHERIA YA NDOA YA KIKATOLIKI KURUHUSU WAKE WENGI- VATICAN CITY, MACHI 31, 2020*
Ninajua ungetazama tu, ...
Tafadhali osha mikono yako; jiepushe na mikusanyiko. Na hakikisha unawalinda wenzako dhidi ya COVID19. Baki salama

By H. O. D. WA WAJUMBE
 
Watu walikuwa wameisha anza kufurahi
 
Back
Top Bottom