Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20240907-WA0112.jpg
 
Swali la kiboya sana hili. Halipaswi kuulizwa; na wala halipaswi kujibiwa maana muulizaji hata akiambiwa body count ni moja bado ataumia tu maana kuna lijamaa lilishamtamtangulia kufungua ile njia takatifu ielekeayo kwenye kiini cha uhai katikati ya duara.

Swali hili kwa mtu mwenye inferiority complex linawweza kusababisha permanent damage hasa kama mahusiano hayajasimikwa katika misingi sahihi hata kama yana lengo jema.

Washauri madogo huko wasiwe wanallijibu hili swali Ma Mchungaji 🙏🏿
Kwa kweli Mtumishi; na nyie vidume msiwe mnauliza hilo swali kabisa. Nyie kamateni tu gurudumu mtakapolikutia, then muendelee kulisukuma kwa amani. 😅😅
 
Back
Top Bottom