min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,332
- 127,397
Dah maumivu yake ni makali sanaInauma hiyooo ilishawahi kunichoma😂😂😂
Dah maumivu yake ni makali sanaInauma hiyooo ilishawahi kunichoma😂😂😂
Umejuaje, ni kweliUmenimiss?🤔
Sana Mkuu mpaka kwenye moyo na haja ndogo lazima itokeDah maumivu yake ni makali sana
☺️😉Umejuaje, ni kweli
Jiondoe kwenye mahusiano ili moyo wako upate amani, hata naye apate salama ya kuteketeza fedha zake mahali pasipo sahihi
Siyo wako tena huyo.