Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Mloganzila hoyeeee! 👏🏿👏🏿👏🏿
Duh 🫡Hivi ni kweli vituko mitandaoniView attachment 3057602
Hasi na chanya😅
Mkuza makalio kayatimba....
ONYO: Video siyo nzuri. Usiangalie kama unaogopa vidonda...😭
View attachment 3058068
Kapotea au yupo likizo!!
Tumieni kodi zetu kwenye maeneo sahihi, jiepusheni na magari ya anasa, safari zisizo za lazima ili muendelee kuwatumikia watanzania kwa ukaribu zaidi
Huyo mwanaume ni mboga1mzabzab jitahidi ufikie level hiiView attachment 3057986
wajinga sana mashabiki wa Yanga. hao wote wanakula supu utakuta siyo hata wanachama