Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Hata Ziwa Victoria aisee. Kuna watu walinunua viwanja vya bei mbaya karibu kabisa na ziwa wakashusha mahekalu ya kueleweka mweh! Sasa hivi mahekalu yamo majini wameshayakimbia. Yaani ni total loss. Nilikuta kuna Mkanada fulani yeye kajenga juu ya paa lake huko juu anakwenda na kutoka kwa speed boat.Kigoma kuna changamoto.
Ziwa Tanganyika linafuata makazi ya watu kwa kasi
Bila kupepesa macho hapo nachomoka aisee! 💪💪💪Wewe unaweza kuchomoka na mtego kama huo ati kisa una mke na watoto nyumbani?
Mateso yanatutesa bro
Aaahh wapi!!!
Ukirudi nyumbani umechoka "ulikuwa kwa wanawake zako"