Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Ile tamthilia ya kanumba, bi star na muhogo mchungu sikumbuki vizuri ila kanumba alikua kipofu
Inaitwa Kipande
Baba unazinguaaisee kweli v8 noma mahela yote hayo. wacha dada zetu waliwe malinda
Sasa wee bwana ukipewa lift ya v8 kwa nini usilainikeBaba unazingua
Mwenye nayo ni lugumi said bibi ni mfanyabiashara wa bunduki nchi za njeLulu Shamte....🙂
Msimu ujao tutawakanda tu
Tutawapiga 7Msimu ujao tutawakanda tu
Naunga mkono hojaTutawapiga 7
Unarudi home? Watoto wa kishua bana dah!
Wengine kazi zetu hazituruhusu kufuga ndevu!