moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,327
- 775,818
Wana mira ngumu sana hawa jamaa
Wana mira ngumu sana hawa jamaa
Amekosa mtu wa kumfikisha milima ya usambara ameona isiwe tabu,
asije gegeda teddy bear jamani...hawa vijana wa hovyo haliwapiti jambo
kwa hiyo bwana chama kakataa kucheza kombe la losers