Anamlinda mgeni lakini pia analinda wanyama wasiuwawe kinyume cha sheria.Huyu bingwa anamlinda huyu jamaa au analinda wanyama wetu wasifanyiwe kitu mbaya
View attachment 3030186
Hawana adabu kabisa hao.
Nasimama niangalie kama nimechafuka😂
Wanakuaga wanoko hawa.