Ameze watajikuta ryt location
Mbinguni utafika kimiujiza tu wallahi 😁Legends[emoji16][emoji16]View attachment 3022304
Ila kitu moyo yanishangaza mie ni hawa vimbao mbao tuu ndio unakuta wanagombania mwanaume...huwezi kuta wwenye minofu wakigombea mwanaume🤣🤣🤣🤣
Wenye minofu wagombanie mwanaume wa nini? Si wanatakwa na kila mwanaume? 😳Ila kitu moyo yanishangaza mie ni hawa vimbao mbao tuu ndio unakuta wanagombania mwanaume...huwezi kuta wwenye minofu wakigombea mwanaume🤣🤣🤣🤣
Huyu bibie bado anashina nguo huko dar jamani?
Kwa hiyo malipo mengine ni papo hapo...dunia hii tuwe wapole jamani
Mke wakama hawa ndio nawapenda...wanajisemea ukweli tuu kuwa mbususu kupata toa hela
Wenye masikio na wasikie,