Worldboss
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,945
- 3,761
M
Mkuu mbona umempost mke wangu bila ruhusa yangu?
Mkuu mbona umempost mke wangu bila ruhusa yangu?
Mnaojua lugha za wanawake.
Mwanamke akisema nitakupa kila kitu anamaanishi vitu vingapi kwenye mwili wake?🤡🏃♂️🏃♂️
View attachment 3012234
Kwenye hiyo hekaheka kishuzi huwa kinapotea...na wengine kinaweza kupotea jumla na kisirudi tena! 😁Mwanamke mwenyewe anayemuanika kapigwa pasi, hata "kishuzi" hana😎🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
🙏🙏🙏Jumatatu njema kwa kila mmoja wetu, mwangaza wa mafanikio utokeze kwetu kama mawio ya jua.View attachment 3013311
😎😎😎😎👏👏👏🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Anaendelea kutumia koti la kuazima.
nimekukamata kumbe upo hukuKama kuna nyingine nyingi za huyu mwamba tuma😂😂😂😂😂
Hizi ndizo ahadi walizokuwa wanapewa wanyama na viongozi wao katika hadithi ya Shamba la Wanyama ya George Orwell. Kawaida ya mianasiasa!