Kumbe huwa hivyo, sikujua.
Kazi za aina hio hufanywa na wasio na kiume aka 'hanithi', mwanaume mwenye nguvu zake lazima atakuwa matatani
Hii mpya na nilikuwa sijawahi kuisikia. Ulikuwa unagawa dislikes bila sababu labda 😁Wakuu moderators wamenipa ban ya kuto like hivyo sina uwezo wa kulike post zenu mnisamehe tu wana vituko wenzangu 😢
Ndiyo. Shepu ni kila kitu. Na hapa hii siri kubwa sana nakupa. Umbo la mwanamke huwa linabadilika hasa baada ya kujifungua watoto kadhaa. Hivyo usije ukashangaa umeoa pisi ya kueleweka (kama hiyo ya kushoto) halafu baada ya watoto wawili watatu hivi ikaanza kuhamia huo upande mwingine.
Hapana. Hii ni kazi ya kawaida na watakuwa wamezoea. Ni sawa tu na daktari wa kiume wa uzazi na magonjwa ya wanawake (OBG - Obstetrician and gynecologist). Huyu kwa siku anaona mbususu za kila aina pengine zaidi ya 50 laivu na hata kuzishika shika na kuingiza vidole. Anakuwa ameshazoea na kwake ni jambo la kawaida tu!Kazi za aina hio hufanywa na wasio na kiume aka 'hanithi', mwanaume mwenye nguvu zake lazima atakuwa mamatatani