View attachment 3007032
1. Uzito wa nyoya....
2. Made in Tabora....
3. Tukunyema...
4. 4×4×4×far....
5. Zigo
6. Tafuta jibu, hapo ni kanisani au kitchen party au tamasha la wamama au kwaya au...
7. Wanaume muelewe, hii mizigo hamuishangai pekeyenu tuu, hata wenyewe kwa wenyewe huwa tunaishangaa na kuikodolea macho inavyorindima au kurindimishwa na wenyenayo....😅😅😅
Angalia hao wadada wa nyuma ....😁😁😁 macho kodo.