Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,257
Mbona kazeeka sana sura huyo ana 85 sio kazaliwa 1985 wamekosea hapoView attachment 2998772
Ni kweli Wamasai tunapenda maandazi. Cheki kitambulisho cha dogo wa Kisukuma mwenzako hiko.
Mbona kazeeka sana sura huyo ana 85 sio kazaliwa 1985 wamekosea hapoView attachment 2998772
Ni kweli Wamasai tunapenda maandazi. Cheki kitambulisho cha dogo wa Kisukuma mwenzako hiko.
Notification zako kwangu hazifiki
Mkuu na wewe ni mwanachama wa SDY? 😁😁😁🖐
Inawezekanaje ku-edit jina la mtu ukishaposti? Hebu nipe maujuzi 😁🖐Notification zako kwangu hazifiki
Unapost then unaedit jina langu?