Nilkua na stress lakini nimejikuta nacheka aisee 🤣
Eateli kipindi kile ikiitwa CeltelMobitel Tritel ZainView attachment 2998418
Airtel iliitwa ZainEateli kipindi kile ikiitwa Celtel
Sawa sawa bro kwa kunikumbusha
Vizee vya hivi huwaga havifi kiboya. Akijichanganya huyo mdangaji anaweza akakata moto akakiacha! 😁