ZIJUE KAULI MBALI MBALI ZA WAJUMBE
"tupo pamoja"
"tupo nyuma yako"
"unakubalika sana"
"umeeleweka sana"
"sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi"
"wewe ni jembe"
"wapinzani wako wanataka kupima kina cha maji kwa miguu miwili"
"mzee shona suti za ubunge kabisa maana njia nyeupe kabisa"
"Wee mtu wetu sana tena wa nyumbani kabisaa"
"mzawa".
" Huna dhambi"
. "marehemu Babaako tumeishi nae vizuri sana kipindi yupo hai"
"wee ndio chagua letu"
"Wewe ni mtu wa watu".
"Huna makuu".
"Usihofu".
"Tunasimama naww",
"wewe ndo mtu wetu hatutaki mwingine.."
Ongezea
Sent from my Infinix X627 using
JamiiForums mobile app