Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
View: https://youtube.com/shorts/n5-RNOyc0NY?si=2PcredEQoRSbqr5i
Pamoja na mada zote za kataa ndoa, ukute hawa wamekutana JF na ni wadau wakuu wa JF....
NB: Ukute....🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Hata sasa kuna Boeing yetu bado imekwama huko Malaysia. Dege jipya la dola karibia milioni 30 lipo tu huko limekaa kwa zaidi ya miezi minane imagine! Usikute watu walipiga wakanunua mabovu kwa bei mpya! 🚮
sumbai na wenzake huyo akiogopa gono na UTI