moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,360
- 775,893
Hapa kinaendelea nini mkuu?
Wenye mahaba yaoHapa kinaendelea nini mkuu?
Mahusiano yanafubaza wanaume mnatuongopea mnasema mnatupenda Kama tulivyo kumbe waongo 🤣🤣🤣😅😅Wanawake wakiwa kwenye mahusiano wanajitupa, hawajithamini kabisa.
Ndiyo maana ma house girl wanajitwalia maisha
😊😁❤️😔💕
Kuna sehemu nilikuona, hauna tofauti na picha yako ya zamani kwa sasa.Picha yangu ya Zamani umeitoa wapi?
😂😂😂tupo nje ya mda🤣🤣🤣🤣
AiseeKuna sehemu nilikuona, hauna tofauti na picha yako ya zamani kwa sasa.
Kwani hiyo pesa kashinda yeye mpk nimfanyie kitu?? 😜
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani hiyo pesa kashinda yeye mpk nimfanyie kitu?? 😜
Pesa haitambui mapenzi yetu na beib wangu🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani we ni gaidi la Kitanzania
Nitamuacha.
Halafu sikujua Wewe ni Ke Mkuu 😂😂😂Nitamuacha.
DuhHalafu sikujua Wewe ni Ke Mkuu 😂😂😂