😂😂Siku si nyingi Jamaa yetu atajipatia watoto wa 3.
Namuonea huruma Huyo jamaa anayefanya hiyo kazi.
Aisee
Nitumie PM nithamishePicha yangu ya Zamani umeitoa wapi?
Hivi wewe unaweza kufanya hivyo?Kaupiga mwingi.
Duh sidhaniHivi wewe unaweza kufanya hivyo?
🏃🏃🏃Nitumie PM nithamishe
🤣🤣🤣
Mahusiano yanafubaza
View attachment 2960747
Wanawake wakiwa kwenye mahusiano wanajitupa, hawajithamini kabisa.