Vituko mitandaoni. Tupia chako

Naomba nikuulize swalimkuu 'melusine8': hivi hawa viongozi wetu wa hivi viinchi vyetu ilikuwa ni lazima wawepo kwenye huo msiba?
Isingetosha kupeleka tu salamu za kuungana na hao wakubwa kwenye msiba wao huo isingetosha?

Hapana, mimi sikubaliani nawe kamwe kwa kuunganishwa katika kudhalilishwa huko walikofanyiwa hao viongozi. Mimi simo kabisa kwenye hilo daraja lenu la kuwa duni kuliko hao wengine.
 
Ikiwa hivyo ndivyo haina maana kuchangia. Unajitoa kwa ajili ya jamii kumbe kuna jitu linanufaika bure bure.
Dunia nzima imejaa watu wenye tamaa.
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…