sasa hayo madude yatabebaje abiiria
Wasukuma mppooooo? Hii ndiyo milundi sasa.
Amen. Imenigusa sana. Nimepata nguvu Mpya. Happy Sabath Day
Tusikate tamaa hata iweje maana Mungu Alishaahidi kuwa kamwe hatatuacha. Sabato njema kwako pia ndugu yangu. 🙏🏿Amen. Imenigusa sana. Nimepata nguvu Mpya. Happy Sabath Day