Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1710685365778.jpg
 
Kwa mfano ukiambiwa umuelezee kwa ufupi late president Magufuli utaelezeaje?
Habari zake yule hazifai kuelezwa kwa ufupi, lakini nitajitahidi.
Kwangu mimi alikua ni Rais wa ndoto zangu.
Taifa letu lilili hitaji kiongozi wa aina ya magufuli, bahati mbaya upande wetu hakumaliza uhitaji wetu.
Ila binafsi naamini ipo siku tutajaliwa tena kiongozi kama yeye na atafikisha taifa sehemu sahihi.

Kwa ufupi maendeleo ya mtu yoyote, taasisi yoyote ama taifa yanahitaji mtendaji ama kiongozi mwenye nidhamu na uthubutu.
Ambae atawaongoza katika nidhamu na kuthubutu, nidhamu katika yote na kuthubutu katika yote.
Magufuli aliweza hayo.
 
Back
Top Bottom