Hesabu hiyo kuwa ni sadaka tu unatoa; na usitegemee cho chote. Binadamu anaweza kukubadilikia wakati wo wote japo hatuombei iwe hivyo!
Mimi pia nina mpango wa kumsomesha mtu shahada ya juu mwaka huu lakini huyu ni rafiki yangu sana tu na nafanya hivyo kwa moyo mweupee bila kutegemea cho chote in return. Tufanye hivyo maana maisha ni haya haya hakuna mengine na dunia ni hii hii!