Vituko mitandaoni. Tupia chako

Duuu, umempa maneno mazito yenye uhalisia mkubwa.
Jamaa huwa anawaza mgegedano kila anapoona bi dada analanda landa mbele yake
Lakini kwenye maendeleo ya kitaifa anawalalamikia wengine.
Wafrika tuko hivyo.
 
Akili za walio wengi wetu zinafanana.
Ni ngono tu.
Lakini wakitoka kugegeda wanalaumu viongozi kudumaza maendeleo.
Maendeleo ya nchi yako yanaanza na wewe.
 
Akili za walio wengi wetu zinafanana.
Ni ngono tu.
Lakini wakitoka kugegeda wanalaumu viongozi kudumaza maendeleo.
Maendeleo ya nchi yako yanaanza na wewe.
Maendeleo wapi bwana wewe....kila mwaka we solving the same perennial problems alafu mwasingizia ngono. Kwanza ngono inachukua asilimia ndogo sana ya muda wa mwanadamu...kama mie dakika mbili chali🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…