Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hata Wasukuma wengi wasomi wembe ni ule ule. Niliambiwa eti wanakimbilia ule weupe wa pisi za huko....

"Pisi kali nyeupe ya Kinyarwanda dah!"....Jiiizozi!πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸ™ˆ
 
Somo muhimu sana. Usimtuhumu na kumhukumu mtu bila kuwa na uthibitisho na uhakika wa jambo. Kuhukumu watu haraka haraka na kwa kutegemea maneno tu ya watu mara nyingi utaishia kukosana na watu wema bure...na hii inaweza kukugharimu pakubwa!

Mama E. Bila shaka alishanisamehe huko aliko πŸ™πŸΏβ€οΈ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…