Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Inashangaza
Niliwahi kusema Leo ngoja niweke kwenye charge usiku asubuhi ni kuwasha simu na kuondoka. Ile naondokau Kumbe nilichomeka sikuwasha😂😂
ukipata nafasi ya kwa wa tatu au wa nne wewe utakubali?Mashallah 🥰
View attachment 2916217
usiombe uwe na safari ya mkoa!Niliwahi kusema Leo ngoja niweke kwenye charge usiku asubuhi ni kuwasha simu na kuondoka. Ile naondokau Kumbe nilichomeka sikuwasha😂😂
Hata wa mia fresh.ukipata nafasi ya kwa wa tatu au wa nne wewe utakubali?
Dk. kafikwa na wazee wa memes
najua unatania, hamna mwanamke anakubali kuwa wa pili kamwe😅Hata wa mia fresh.
Si Kweli.najua unatania, hamna mwanamke anakubali kuwa wa pili kamwe😅