Mkuu kwemaMiaphant![]()
Mbona yule mzee alikuwa anatafuna mahindi ya kuchoma njiani!!Sheria za kuvaa suti.. wahenga mnaelewa
1.Usikimbie
2 Usipande Baiskeli wala Pikipiki
3. Usipande Pick Up
4.Usilewe
5. Usitoke jasho.
6 Usivae ndala
7. Usilie hata kama umefiwa na mtu wa muhimu
8. Usigombane
9.Usiombe Kalamu
7. Usile kwa Mama Ntilie
8.Usile muhindi njiani
9.Usile Muwa
10.Usiambatane na mwanamke aliyevaa Khanga
11. Mwisho kabisa usichomekee koti..
![]()
Kwakweli tusidabganyane eti wawashe mitambo leo na siku hiyo hiyo waingize kwenye grid ya taifa kisha tuambiwe tatizo la umeme limeisha.
Wewe kumbe mkorofii 😅😅😅
Usihamaki, acha watu nao watunukiwe.
![]()
Ameenda msibani au kwenye mashindano ya urembo?
Can you fork me 🥴🥴🥴