Vituko mitandaoni. Tupia chako

mtoto halali na hela dp yake

Nimekumbuka mbali aisee kufulia mtoni[emoji3]
Haya majina unaweza kuyajua maeneo ya kuogelea mtoni. Kimangare, kwa wasichana, kwa shetani, kitoshoni,kwa alani karibu na chuo cha ttc... 😂😂😂umenikumbusha mbali sana. Tulikua tunabembea maeneo hatari sana. Kwenye kamba za miti unatoka ng, ambo hadi ng'ambo..... Hadi naikumbuka analogy. Ila Muumba wetu katutoa mbali sana♥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…