kweli mcheza kwao hutunzwa, muda ufike ile mikoa duni ipewe nafasi ya kutoa raisIngejengwa Chato hii...na hapo namba 11 kukasema ni kanisa pangekalika? Zitto angeua mtu wallahi
View attachment 2893812View attachment 2893813View attachment 2893814View attachment 2893815View attachment 2893816View attachment 2893817
kumbe hamna dhambi mpya kivile!
hata kama amevunja vunja kiasi gani?
huyu dada yetu bwana changamoto!
si zaidi ya jombe tena huko makete na ludewa ndani ndani hukoo
Acha kutukana watu ambao hawajakutukana ni dalili mojawapo ya kuwa na ugonjwa wa akili.