😂😂Punguza sauti 😅
imenifikirisha sana kwamba ni busara ama la, ukifikiria baba alivyo risk maisha yake yote na kupoteza vingi kwa ajili mtoto kisha ukiangalia thamani ya mtoto vile anavyo hitaji msaada katika udhaifu wake wa utoto, pia ukiangalia mwanamke ambavyo maisha yake hayawezi isipokuwa mwanaume, tegemeo na msaada wake upo mikononi mwa mwanaume nahitimisha kuomba sana mtihani huo asiupate yeyote.This man is trying to save his grandfather father, and completely ignoring his wife and son, who are closer to him.
The wife represents life and the son is the future, however the grandfather represents the past! Because the man chooses to cling to his past he loses his life and future!🥲...the action he made is it wise?View attachment 2892879
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi mwili umesisimka
Jaribu kunipa mapenzi uone maajabu ambayo hujawahi yaona mkuu
Nitakupa ndoa papo hapo.



nyooo nijichanganye kwa baharia sijpendiNiwawekee video yake? 😳
Ushenzi wa hawa jamaa ni kwamba hawakushambulii hapo hapo. Haoo wanajipenyeza kwanza mpaka wafike sehemu nyeti ndiyo wanaliamsha dude. Mbona hata uko peupe mbele ya kandambasi usipokuwa mwangalifu utajikuta ushasaula? Tena ukute ni yale makomandoo yenye vichwa vikubwa vikubwa na meno kama mkasi dah!Hadi mwili umumesisimka
Toa Neno ugali halafu uweke makande 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Kama nakuona jinsi ulivyosisimka! 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Hadi mwili umesisimka
We do understand!
Umeanza lini utani na Wasukuma? 😳😳😳