Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
hii kamba aisee!
hii kamba aisee!
vipengele vya mathe vimekua vingi mno na vigumu bora wapunguze hivyo vigumu vifundishwe vizuri.
mhhh!
Usikataee....mideko nakataaa!
Mama nampenda sana na elfu mbili situmi ng'o!
Nami nakuunga mkono.mideko nakataaa!
Wakati wa utawala wa Mkapa kulikiwa na wana CCM watano wenye sifa kama hizo wakanyang'anywa uraia wao kisha wakaambiwa waombe ili wapate uhalali.Ni masikitiko tu ndugu yangu. Kila kitu ni siasa. Maadam hao wakimbizi ni wanaCCM basi haina neno![]()
Kwamba rais mwenyewe amekosa hiyo hela au ndo kujipendekeza?
Aisee sikumbuki. Akina nani hao? Najua Mkapa alikuwa na bifu na Jenerali Ulimwengu ila sina uhakika kama sekeseke la uhalali wa uraia wake lilikuwa kipindi cha Mkapa, J.K au Magufuli.Wakati wa utawala wa Mkapa kulikiwa na wana CCM watano wenye sifa kama hizo wakanyang'anywa urai kisha wakaambiwa waombe ili wapate uhalali.
Unakumbuka kamanda?
nakataa kwa msisitizo you are cuteUsikataee....
Naomba picha yake PM kama unayo mkuu 😁nakataa kwa msisitizo you are cute
yupo pic sana , kawaida walio pic kweli wanajikataaga!Nami nakuunga mkono.
Mideko nilibangaizaga picha yake kule Selfika aisee tusimchukulie poa. Ni pisi moja matata sana! 🔥
Vipi kuwa mkweli X wako amekutafuta au....?😂😂
unfortunately siku save, alieye sababisha uzi wa selfika kufungwa alaaniwe!Naomba picha yake PM kama unayo mkuu 😁
Hivi ni lisomi gani ambalo ni lioga?
Wazazi wachonge viti wakati wanaisubiri serikali iwanunulie.