Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,199
Aisee poleni sana Wana daslaam, sema huko shida kumenengwa kiholela sana.Nipo salama mjukuu. Nakaa mahali nyumba iko juu kidogo kilimani. Hapa chini tu kuna nyumba nzuri sana lakini leo ilizingirwa na maji na ukuta wa nje umedondoka. Ilikuwa mvua ya kweli kweli hii ya leo!