Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Nipo salama mjukuu. Nakaa mahali nyumba iko juu kidogo kilimani. Hapa chini tu kuna nyumba nzuri sana lakini leo ilizingirwa na maji na ukuta wa nje umedondoka. Ilikuwa mvua ya kweli kweli hii ya leo!I hope upo salama babu.
