Afadhali.😂😂😂
Ndiyo najifunza funza kuvaa nguo ndefu Bro..!!😌
😂😂😂Afadhali.
Utazihitaji ukweni 😁😁😁
Eti nilijuaje? Hivi umeshasahau kuwa ulishawahi kuniambia kuwa nina akili sana? Hii ilikuwa ni kipindi fulani hivi baada ya kusoma "uzi" wangu mmoja wenye kurasa 5+ tena nondo tupu wakati ule niko Scandinavia hukooo....💪💪💪💪😂😂😂
Ulijuaje..!? Nilitaka andika hicho kitu kisha nikafuta..!!